PreGE2025 CCM waachane na Samia Suluhu na Emmanuel Nchimbi. Hawataki Reforms

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wakishupaza shingo Mungu ataingilia kati
 
Sasa ushauri gani huu wa kushauri CCM waachane na CCM?
Wewe shauri chadema waachane na Samia na Nchimbi kwa kwa sababu hawataki NR NE ya Chadema.
CCM hakuna NR NE.

..Samia na Nchimbi wanatishia kuvuruga amani.

..wanataka uchaguzi ufanyike kibabe kama ule wa Nov 2024.

..hawataki mabadiliko ktk Tume, ni wagombea wanaotishia amani yetu.
 
Stupidest post ever

Mental case hii
 
Reactions: Tui

..Ni mauwaji anayotaka kufanya Mama Abduli ili aendelee kukalia kiti.

..huyu Mama anajijali yeye na genge lake, hataki haki, wala amani.
 
Na mauwaji yakitokea, wajiandae kwenda The Hague

Sijajua ni Kwa nini wanashadidia wizi na udanganyifu wa kura ilihali huku mtaani vibaka wanabanikwa na kupigwa viberiti.
Wakubari tume huru, free and fair election…period
Viongozi na wadau mtambue tu kuwa uchaguzi wa mwaka huu sio wa kawaida. Mtashupaza shingo lakini joandaeni na yatakayotokea. Sisi watumishi wa Mungu tutaendelea kuombea nchi na kuwashauri. Lakini msiposikia sharing yenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…