mwanamwana
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,309
- 4,798
Ni kosa kisheria kutumia watoto katika shughuli za kisiasa zinazohatarisha afya, elimu, au ustawi wao. Hii ni kwa mujibu wa Sheria ya Mtoto ya 2009, Katiba, na miongozo ya kimataifa ambayo Tanzania imeiridhia.
CCM haya yote kwao si kitu, wameamua kutumia watoto kusukuma agenda zao za uchaguzi ujao. Masikini mtoto huyu huenda hata hajui kama anatumiwa tu. Pia namlaumu mzazi kwa kukubali mwanaye atumike kisiasa kwa rushwa ya gesi tu ambayo ikiisha, itamlazimu alipie ili kujaziwa upya.