Pre GE2025 CCM waanza kutumia watoto kusukuma agenda zao kuelekea uchaguzi. Hii si sawa kabisa, waache watoto wasome

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

mwanamwana

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
1,309
Reaction score
4,798
Ni kosa kisheria kutumia watoto katika shughuli za kisiasa zinazohatarisha afya, elimu, au ustawi wao. Hii ni kwa mujibu wa Sheria ya Mtoto ya 2009, Katiba, na miongozo ya kimataifa ambayo Tanzania imeiridhia.

CCM haya yote kwao si kitu, wameamua kutumia watoto kusukuma agenda zao za uchaguzi ujao. Masikini mtoto huyu huenda hata hajui kama anatumiwa tu. Pia namlaumu mzazi kwa kukubali mwanaye atumike kisiasa kwa rushwa ya gesi tu ambayo ikiisha, itamlazimu alipie ili kujaziwa upya.

Your browser is not able to display this video.
 
Chema chajiuza kibaya chajitembeza.
 

Dkt. Gwajima D
 
Kwani waziri Dkt. Gwajima D anasemaje kuhusu hili

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…