The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Kabla hata ya magu CCM ilikua na wanachama wengi, kwanza saaahv ndo wamepungua! fuatilia kipindi cha kina mwinyi, Mkapa na mwanzoni wa Nyerere, kuna kipindi CCM inashinda mpaka kwa asilimia 94%Ni kweli hizo data zipo. Nijuavyo wengi walilazimika kujiunga ndani ya miaka 5 iliyopita kutokana na hali halisi ilivyokuwa. Hasa wanachuo na wapiga deal kwa sababu kila kitu kilihitaji lazima uwe CCM ndipo ufikiriwe utendaji, ualimu, Tarafa nk. Hata sasa hakuna uwezekano wa kuwakwepa. Binafsi nimejiunga rasmi ccm lkn sina matokeo HD uchaguzi.
Kuwa na wanachama wengi sio kushinda uchaguzi ndg.kabla hata ya magu CCM ilikua na wanachama wengi, kwanza saaahv ndo wamepungua! fuatilia kipindi cha kina mwinyi, mkapa na mwanzoni wa nyerere, kuna kipindi CCM inashinda mpaka kwa asilimia 94%
Sio kushinda ila ni moja ya nguvu ya kushinda uchaguzi naweza sema the biggest factor ni wanachama.Kuwa na wanachama wengi sio kushinda uchaguzi ndg.
Dikteta aliharibu balaa mifumo yote.Ni kweli hizo data zipo. Nijuavyo wengi walilazimika kujiunga ndani ya miaka 5 iliyopita kutokana na hali halisi ilivyokuwa. Hasa wanachuo na wapiga deal kwa sababu kila kitu kilihitaji lazima uwe CCM ndipo ufikiriwe utendaji, ualimu, Tarafa nk. Hata sasa hakuna uwezekano wa kuwakwepa. Binafsi nimejiunga rasmi ccm lkn sina matokeo HD uchaguzi
Mzee ushindi wa chaguzi nchi hii usiangalie percentage, ni kikundi flan kitaamua nan awe nan asiwe.kabla hata ya magu ccm ilikua na wanachama wengi, kwanza saaahv ndo wamepungua! fuatilia kipindi cha kina mwinyi, mkapa na mwanzoni wa nyerere, kuna kipindi ccm inashinda mpaka kwa asilimia 94%
Hahaha kwa apo nakubali mzee 😀Mzee ushindi wa chaguzi nchi hii usiangalie percentage, ni kikundi flan kitaamua nan awe nan asiwe.
Kama tujuavyo kuwa kwenye shughuli ya siasa mtaji ni wanachama, CCM wanadai kuwa wana wanachama hai wapatao milioni 12. Ningetamani kujua na vyama vingine waweke data za wanachama wao hadharani.
Hii itasaidia sana kuwahamasha makada kufanya mapitio ya mipango na mbinu mbalimbali za kuongeza idadi ya wanachama.
Jambo lingine la kufanyika, ni vyema vyama vingine vya siasa vikaja na reforms kubwa sana, zenye kukidhi uwezo sawia wa kuikabili CCM iliyojilimbikizia kila nguvu tajika.
Vinginevyo tutafanya siasa za maigizo mpaka siku ya kiyama.
Hiyo million 12 hata Magufuli bado mwanachamaKama tujuavyo kuwa kwenye shughuli ya siasa mtaji ni wanachama, CCM wanadai kuwa wana wanachama hai wapatao milioni 12. Ningetamani kujua na vyama vingine waweke data za wanachama wao hadharani.
Hii itasaidia sana kuwahamasha makada kufanya mapitio ya mipango na mbinu mbalimbali za kuongeza idadi ya wanachama.
Jambo lingine la kufanyika, ni vyema vyama vingine vya siasa vikaja na reforms kubwa sana, zenye kukidhi uwezo sawia wa kuikabili CCM iliyojilimbikizia kila nguvu tajika.
Vinginevyo tutafanya siasa za maigizo mpaka siku ya kiyama.