Augustine Moshi
JF-Expert Member
- Apr 22, 2006
- 2,556
- 1,385
Fikiria kabla ya kuandika,kwani waliosema mwenyekiti wa sisieeemu ambaye ndie mkuu wa Tanzania kwamba ni chaguo la Yehova walikuwa wanatoka msikitini au kanisani?Hivyo ujue kuwa Kanisa na sisieeemu ni baba moja mama moja ila tumbo mbalimbali,wana haki ya kufanyia mikutano hapo kanisani mbona mara nyingi tuu mikutano yao ya kampeni inaratibiwa kanisani!.Wapumbavu, ndo siasa gani hizo hadi kwenye nyumba za ibada!
Hapo umenena.Hii ni habari ya kusikitisha sana na kipigo juu?,nashauri kanisa lifungue kesi mahakamani, na wakazi wa Biharamulo fungueni macho na muoneshe kuchukizwa kwenu siku ya kupiga kura.Leo fujo kanisani kesho nyumbani kwetu.
Kuna mbunge mmoja juzi bungeni alisema kuna chama cha upinzani chenye kufanya fujo. Hakukitaja, lakini alitaka kifutwe kwani sheria za vyama ziko wazi juu ya hilo. Alikuwa mkali kwelikweli kwa msajili wa vyama kuwa hajui kazi yake au anashindwa kutumia madaraka yake vizuri.
Naomba wanaomkumbuka na kuwa na mawasiliano nae, wampe habari hii na tumtake abaki na msimamo wake ili chama chake kinachofanya vurugu hadi kanisani kifutwe.
Kama kuna anayekumbumka jina lake aliweke hapa ili tutafute mawasiliano naye kupitia tovuti ya bunge (wakati huo alikuwa akichangia bajeti ya ofisi ya waziri mkuu)
Unadhihirisha upeo wa kichwa chako, kumbe chochote chaweza kufanywa kanisani "hata mambo ya aibu kama vikao vya mafisadi" ndio maan wanataka mshiko wa misamaha ya kodi baada ya miaka kumi tutajua mengi kuhusu kanisa!kwani msikitini kuna meza na mabenchi, labda kama wangalikuwa na shida ya mikeka wangeweza kwenda msikitini
Unadhihirisha upeo wa kichwa chako, kumbe chochote chaweza kufanywa kanisani "hata mambo ya aibu kama vikao vya mafisadi" ndio maan wanataka mshiko wa misamaha ya kodi baada ya miaka kumi tutajua mengi kuhusu kanisa!
Kaka acha kupotosha watu,hiki chama sisieeeeem ni chaguo lao hawawezi kupata hasira kwa kusikia eti t n t n!Fikiria wananchi walivyojisikia vibaya kusikia akina mama wa CCM wanaimba mapambio ya chama kanisani.
Walisikika wakiimba:
CCM tieni
Makamba tieni
Malecela tieni
Tieni tieni kwa moyo mmoja
Nambari One eeeh
Nambari ONe ni CCM
Huu winbo uliongeza sana hasira kwa waumini wa RC wa eneo la Nyantakala. Waliona kuwa kama ni najisi hii imevuka mpaka,
Msikitini ? thubutu !!
siyo Biharamulo tu bali nchi nzima ya Tz
hakungekalika Dodoma hadi Dar-es-Salaam
na risasi zingerindima.
Msikitini ? thubutu !!
hao makafri wangeonja joto la jiwe
hayo yaliyotokea Tunduma yangeonekana
kama mchezo wa kuigiza !
Kanisani ? rukhsa !!
wanawajua kondoo wao na wanyonge wao
wale ambao wakipigwa shavu la kushoto
hugeuza shavu la kulia.
Kanisani ? Rukhsa !!
wanawajua kondoo na wanyonge wao
Masikini katibu hakujua nguvu waliyo nayo
wafuasi wa chaguo la Mungu.
Hivi Mwembechai ilikuwa ni Kanisani?
Msikitini ? thubutu !!
siyo Biharamulo tu bali nchi nzima ya Tz
hakungekalika Dodoma hadi Dar-es-Salaam
na risasi zingerindima.
Msikitini ? thubutu !!
hao makafri wangeonja joto la jiwe
hayo yaliyotokea Tunduma yangeonekana
kama mchezo wa kuigiza !
Kanisani ? rukhsa !!
wanawajua kondoo wao na wanyonge wao
wale ambao wakipigwa shavu la kushoto
hugeuza shavu la kulia.
Kanisani ? Rukhsa !!
wanawajua kondoo na wanyonge wao
Masikini katibu hakujua nguvu waliyo nayo
wafuasi wa chaguo la Mungu.