Elections 2010 CCM wagawa sh. 5,000 na T-shirt Freeland Pack, Kimanga Dar

Elections 2010 CCM wagawa sh. 5,000 na T-shirt Freeland Pack, Kimanga Dar

QUALITY

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2010
Posts
853
Reaction score
115
Ndugu nilitaka kuwajuza kuwa jana jioni CCM waliitisha waendesha pikipiki na vijana wavuta bangi wa Tabata Kimanga na kuwagawia Tsh. 5,000 na T-shirt kwa kila mmoja. Kadili ya watu 150 walihudhulia.

Baadaye Mkutano wa CCM ulifanyika hapo kimanga. watu wamesombwa kuanzia Ubungo, Temeke, Tandika na sehemu zingine.

mambo ni magumu zaidi kwa CCM.

Slaa anaweza, kesho Mpigie kura Dr. Slaa

Bye Bye CCM:israel:
 
We waache wagawe hizo pesa lakini kura hawapati. Watanzania wameamka safari hii
 
Kweli hata nilipojaribu kuongea na wengi wao, wanasema walipewa hela na tshet lakini kura ni kwa shujaa, Dr. Slaa
 
Hiyo ndiyo kawaida yao,bila rushwa hakuna chama,wamekwisha!!!
 
Back
Top Bottom