assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,905
- 4,054
Kama wako wengi bungeni utafanyaje?CCM Ni hatari Sana Sasa kupeleka mswada Baraza la wawakilishi kumzuia Maalim seif kugombea URAIS Zanzibar.
Hi ni hatari tunawaomba CCM asilia wajitokeze kukemea
Mkuu hata kama ulikuwa hujazaliwa,soma hata Hisitoria,waZanzibar wanajitambua kabla hata ya Uhuru wao/mapinduzi,hata asipogombea Maalim Seif ,wapo kina Seif wengi sana,hivyo huwezi kuwabadili mioyo wa Zanzibar,wachezeeni na kuwadanganya waTanganyika na kofia na fulana.Maalim Seif anajikaanga kwa mafuta yake mwenyewe!
Alipowakataza wajumbe wa baraza la Mapinduzi kwa tiketi ya CUF kuingia bungeni hakujua kuwa anajipiga risasi miguuni?
Upumbavu ni kipaji na kwa mantiki hii, atavuna alichopanda!
You reap what you sow!
Maalim Seif anajikaanga kwa mafuta yake mwenyewe!
Alipowakataza wajumbe wa baraza la Mapinduzi kwa tiketi ya CUF kuingia bungeni hakujua kuwa anajipiga risasi miguuni?
Upumbavu ni kipaji na kwa mantiki hii, atavuna alichopanda!
You reap what you sow!
Ewe ni bonge la pumbavuMaalim Seif anajikaanga kwa mafuta yake mwenyewe!
Alipowakataza wajumbe wa baraza la Mapinduzi kwa tiketi ya CUF kuingia bungeni hakujua kuwa anajipiga risasi miguuni?
Upumbavu ni kipaji na kwa mantiki hii, atavuna alichopanda!
You reap what you sow!
Wakoloni weusi watapata tabu sana zanzibar.Mkuu hata kama ulikuwa hujazaliwa,soma hata Hisitoria,waZanzibar wanajitambua kabla hata ya Uhuru wao/mapinduzi,hata asipogombea Maalim Seif ,wapo kina Seif wengi sana,hivyo huwezi kuwabadili mioyo wa Zanzibar,wachezeeni na kuwadanganya waTanganyika na kofia na fulana.
Halafu eti ndio msomi pekee katika hilo kundi lao LB7 ana masters ya catering akifuatiwa na jingalao ana diploma ya welding theory, aliipata kwenye Chuo uchwara kilichosajiliwa na VETA ghorofani kariakooEwe ni bonge la pumbavu
Hivi mnajikutaga Nani nyie!!! Mbona ni wagugumiaji tu kama wengine,mngejitambua mngekuwa hapo mlipo kweli? Be serious please. Ni kweli wanaishi na uchungu mwingi mioyoni ila zaidi ya hilo hawana ujasiri. Kama Maalim wangeshampa huo uraisi zamani na angeshamaliza mihula yake hata minne na kustaafu.Mkuu hata kama ulikuwa hujazaliwa,soma hata Hisitoria,waZanzibar wanajitambua kabla hata ya Uhuru wao/mapinduzi,hata asipogombea Maalim Seif ,wapo kina Seif wengi sana,hivyo huwezi kuwabadili mioyo wa Zanzibar,wachezeeni na kuwadanganya waTanganyika na kofia na fulana.
Damu ya wanzibari mliomwaga mchangani tangu ujio wa vyama vingi unadiriki kusema hawana ujasiri? We learn there is more than one way to skin a cat.Hivi mnajikutaga Nani nyie!!! Mbona ni wagugumiaji tu kama wengine,mngejitambua mngekuwa hapo mlipo kweli? Be serious please. Ni kweli wanaishi na uchungu mwingi mioyoni ila zaidi ya hilo hawana ujasiri. Kama Maalim wangeshampa huo uraisi zamani na angeshamaliza mihula yake hata minne na kustaafu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo mliyomwaga wenyewe kwa wenyewe ni nyingi zaidi hata kabla ya hivyo vyama vingi. Na inapiga kelele.Damu ya wanzibari mliomwaga mchangani tangu ujio wa vyama vingi unadiriki kusema hawana ujasiri? We learn there is more than one way to skin a cat.
Tatizo ni mkoloni Tanganyika aliyejivika koti la muungano na kujifanya yeye ndiye Tanganyika.andika vizuri ueleweke,au usijekuta nabishana na katoto ka Division 0Hivi mnajikutaga Nani nyie!!! Mbona ni wagugumiaji tu kama wengine,mngejitambua mngekuwa hapo mlipo kweli? Be serious please. Ni kweli wanaishi na uchungu mwingi mioyoni ila zaidi ya hilo hawana ujasiri. Kama Maalim wangeshampa huo uraisi zamani na angeshamaliza mihula yake hata minne na kustaafu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani tanganyika imefariki mkuu?basi tabu ipo pale pale.Tatizo ni mkoloni Tanganyika aliyejivika koti la muungano na kujifanya yeye ndiye Tanganyika.andika vizuri ueleweke,au usijekuta nabishana na katoto ka Division 0
Wajumbe wa Baraza la Mapinduzi ni members of Cabinet kwa wenzetu zanzibar nadhani ulikusudia wajumbe wa baraza la wawakilishiMaalim Seif anajikaanga kwa mafuta yake mwenyewe!
Alipowakataza wajumbe wa baraza la Mapinduzi kwa tiketi ya CUF kuingia bungeni hakujua kuwa anajipiga risasi miguuni?
Upumbavu ni kipaji na kwa mantiki hii, atavuna alichopanda!
You reap what you sow!
Nyie ndio mnaojiita CPA(T) wakati O level mlitagaHalafu eti ndio msomi pekee katika hilo kundi lao LB7 ana masters ya catering akifuatiwa na jingalao ana diploma ya welding theory, aliipata kwenye Chuo uchwara kilichosajiliwa na VETA ghorofani kariakoo
CCM Ni hatari Sana Sasa kupeleka mswada Baraza la wawakilishi kumzuia Maalim seif kugombea URAIS Zanzibar.
Hi ni hatari tunawaomba CCM asilia wajitokeze kukemea
Tweet
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe
@zittokabwe
Tuliposema kuwa CCM wana mpango wa kuzuia mamia ya wanachama wa
@ACTwazalendo
kugombea Urais, Ubunge na Udiwani ktk Uchaguzi 2020, CCM walikanusha. Ndg.
@omarshaaban80
juzi alikazia maneno ya Maalim
@SeifSharifHamad
CCM wakakanusha tena, wakakataa taarifa yao rasmi.
Mungu wabariki Wazungu