Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 33,225
- 83,181
Sasa hii comment umeandika kwa kutumia nini na ukiwa wapi?Upo nje ya nchi? Unaioataje JF mi siipati kabisa🎃🎃🎃
Tumia hii VPN kakaUpo nje ya nchi? Unaioataje JF mi siipati kabisa🎃🎃🎃
Wanapambani wajinga kama sisi, hata Lisu anapambania wajinga kama sisi ambao hatuna sapoti yoyote ile kwao. Hata Mello anaweza kamatwa akafungwa au akapotezwa mazima na hakuna kitu tutafanya zaidi ya kuongeza post za kulalamika.Confucius alisema,vitu 3 huwezi vificha, JUA,MWEZI NA UKWELI.
Unaweza tembea na uwongo,kuupamba na kuuremba,lkn Ukweli utakuumbua.
Natamani wangejua Hekima za wazee,MFICHA UCHI HAZAI.
Chama chenu kina vijana wasio na uwezo wa kupambana na hoja matokeo yake ndio haya. Nakumbuka kipindi cha utoto mkiwa mnacheza mpira mkimpiga chenga mwenye mpira wake kinachofata anasubiri utoke anaukamata anaondoka nao.
Karne hii ya sasa hauwezi kushindana na technology hata mkizima watu tutarudi JF JamiiForums ni jukwaa pendwa sana litaishi milele na milele
Hongera sana Maxence Melo na vijana wako mnatupambania sana hongereni sana
Waoga ila pia wanajua wana dili na keybord worrior mkuu, wao sio wajinga.Jamaa waoga sana. Hawapendi madudu yao yaanikwe
Tanzania nchi yangu nakupenda Kwa moyo wote.Confucius alisema,vitu 3 huwezi vificha, JUA,MWEZI NA UKWELI.
Unaweza tembea na uwongo,kuupamba na kuuremba,lkn Ukweli utakuumbua.
Natamani wangejua Hekima za wazee,MFICHA UCHI HAZAI.
Chama chenu kina vijana wasio na uwezo wa kupambana na hoja matokeo yake ndio haya. Nakumbuka kipindi cha utoto mkiwa mnacheza mpira mkimpiga chenga mwenye mpira wake kinachofata anasubiri utoke anaukamata anaondoka nao.
Karne hii ya sasa hauwezi kushindana na technology hata mkizima watu tutarudi JF JamiiForums ni jukwaa pendwa sana litaishi milele na milele
Hongera sana Maxence Melo na vijana wako mnatupambania sana hongereni sana
Hivi umeingiaje mkuu,vilio vyenu vinasikikaNashindwa kuingia
Vunga 🌜🌛Sasa hii comment umeandika kwa kutumia nini na ukiwa wapi?
Hii tu hawawezi kuizima sabu domain yake sio ya TZ na Server haziko hapa nchini inatumia Reverse Proxy ya Cloudflare USA huko so hawana guts za kuizima...Naomba management ya JF (au hata wabobezi wengine wa tech) waingie mzigoni kuunda platform nyingine kali zaidi ambayo mamlaka ya shithole country haitaweza kuizuia au kuifungia. Base yake iwe ughaibuni huko. Mbwai iwe mbwai tu!