CCM wajue huwezi kamwe kuuficha UKWELI

Maelezo yametulia sana haya. Na iwe hivyo. Jamiiforums foreeever!
 
Serikali inaogopa wakosoaji ambao hawafiki hata laki moja wanatumia I'd fake maajabu ya serikali za Afrika wanaotamba kwamba wamefanya kila kitu leo hii wanaogopa wakosoaji wenye I'd fake napata mashaka sana na mambo wanayosema kwamba wamefanya kila kitu
 
Ng'ombe wa mama wanataman kulia, mipango imekula za pua kama mipango y ibilis na mama mkwe wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…