Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Kwa wale walioangalia TBC habari saa mbili mnaweza kuamini sasa hii biashara ya kupiga kura ilikuwa wizi mtupu ..nasema hivi kwa maana tukianza na dar wameshindwa hata kupeleka viafaa vya kupiga kura...uko mwanza imani ziliwashinda pale walipoakuta majina yao hayapo na ndipo wakaanza mzozo na kuishia kucharazana mapanga ambapo pilisi walikuja na kufunga vituo zaidi ya vi3...kwa hali ii inaonyesha ccm awakujiandaa na hili zoezi ama wamefanya kuwadanganya watanzania kama si wafadhali kuna upuuzi wa democrasia nchini..mmmh sisemi tumwachie mathread