radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,440
- 32,260
"Wananchi bado wanaridhika na sisi kwa hiyo njia pekee watakayofanya labda watumie mabavu na kwa kutumia mabavu CCM Mbeya wanajua, Kikwete anajua, Magufuli anajua kwamba kwa mabavu kwa Mbeya uwezo huo hawana kwa sababu watu wa Mbeya hawajaribiwi na hilo tunalithibitisha hata kwenye Kata ya Ibighi