Nucky Thompson JF-Expert Member Joined Sep 20, 2016 Posts 2,194 Reaction score 4,805 Jul 29, 2025 #1 Nimeona majina ya wabunge wa viti maalum wa CCM waliokaa zaidi ya miaka 10. Sasa nashangaa lile azimio lao vipi kuwa viti Maalum mwisho miaka 10? Soma pia; Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Nimeona majina ya wabunge wa viti maalum wa CCM waliokaa zaidi ya miaka 10. Sasa nashangaa lile azimio lao vipi kuwa viti Maalum mwisho miaka 10? Soma pia; Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Lanlady JF-Expert Member Joined Feb 27, 2019 Posts 1,916 Reaction score 6,527 Jul 29, 2025 #2 Walioteuliwa wako wapi? Tuma pdf
Carasco Putin JF-Expert Member Joined Apr 23, 2022 Posts 14,266 Reaction score 40,225 Jul 29, 2025 #3
msomi uchwara JF-Expert Member Joined Oct 17, 2017 Posts 4,796 Reaction score 9,165 Jul 29, 2025 #4 Walisema hii ni mara ya mwisho,,ila mchujo wa 2030 ndio watatumia hiko kigezo
G guest-1790917349 Guest Jul 29, 2025 #5 msomi uchwara said: Walisema hii ni mara ya mwisho,,ila mchujo wa 2030 ndio watatumia hiko kigezo Click to expand... Bt this is not fair
msomi uchwara said: Walisema hii ni mara ya mwisho,,ila mchujo wa 2030 ndio watatumia hiko kigezo Click to expand... Bt this is not fair
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jul 29, 2025 #6 Inashangaza sana
The redemeer JF-Expert Member Joined Jan 28, 2025 Posts 4,778 Reaction score 8,232 Jul 29, 2025 #7 Kwa sababu hawakupiga kelele