chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 12,350
- 25,870
Hivi Chadema ajenda yao ni ipi mbona hawaeleweki, Wananchi watawachagua kwa ajenda ipi elekezi. Kiukweli hawaeleweki
Sio tuu ndembe ndembe bali ni chip mkononi au ni kanga moko. Asa hiv wanatia huruma wanataka Tume imuengue Tundu Lissu ili tupate Rais wa viti maalumu nchini. Hatikubali hatikubali tunataka upambane na Mwanaume Lissu sio kulia lia tuu kutaka kubebwa bebwa Taga kubwa wewe.Ccm mwaka huu ndembendembe
Mkuu hujafa hujaumbika, mwaka huu haupiti kabla madhira hayo hayajakufika mlangoni mwako.
Magufuli hajawahi shindanishwa akashinda anategemea kubebwa,Sio tuu ndembe ndembe bali ni chip mkononi au ni kanga moko. Asa hiv wanatia huruma wanataka Tume imuengue Tundu Lissu ili tupate Rais wa viti maalumu nchini. Hatikubali hatikubali tunataka upambane na Mwanaume Lissu sio kulia lia tuu kutaka kubebwa bebwa Taga kubwa wewe.
Wewe ulemavu wako wa sehemu za siri umepona?We nani umtoe mtu nduki?? subirini october muone mlemavu wenu anavyogaragazwa, hakuna kura za huruma hapa!!
Utaijua kampeni zikianzaHivi Chadema ajenda yao ni ipi mbona hawaeleweki, Wananchi watawachagua kwa ajenda ipi elekezi. Kiukweli hawaeleweki
Yeye mwenyewe hana uume hapo kazi kutukana wenzake walemavuMkuu hujafa hujaumbika, mwaka huu haupiti kabla madhira hayo hayajakufika mlangoni mwako.
Wamelipwa dau nene,na wana kandarasi ya kuzunguka nchi nzima.Hawa wasanii wapumbavu acha watumike vizuri
Ila kweli jamaa ni mpumbavu, full stop.kujificha nyuma ya keyboard kunakufanya unamtukana Rais kiasi hiki? huna adabu Moderator hata kama ni upinzani hii si sahii