Elections 2010 CCM "wamechakachua" picha

Hahahahahahaahah Miraji akishirikiana na Shamte !
 
hali ni ngumu sana, baada ya tar 31 wengi watakunya sumu!
 
Teh teh uwwwwwwwwwwwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Hahahahhaha! jamani jamani mi sina mbavu jamani!! hilo ndo chama la siku nyingi, ujanja kwisha kabisa bado kwenye mabox ya kupigia kura na kutuma majibu ndo mtihani mkubwa hapo. Kama ni mtihani ni NECTA ya kutungiwa oxford, Hahaha
 
Duh!!!! hii ni hatari tupu! uchakachuaji hadi kwenye picha ili aonekane ana nyomi?
Wanahaha, maji ya shingo!
 


Daah, jamaa wameziunganisha picha ili ionekane kuna nyomi! Haa haa haaa! Halafu bahati mbaya hata photoshop hawaiwezei, imewaumbua kweli kweli. Naona mtu mmjoja amejirudia mara kadhaa
 
watu wa kwenye hiyo picha wamerudiwa/wameongezwa kwenye sehemu tofauti za picha...wengine kama walivyo...na wengine ni hao hao lakini picha tofauti (zilizochukuliwa kwa muda tofauti)......
mnaweza kunirekebisha!
... Na wengine ni wa mikutano ya CHADEMA !
 
Sijaelewa Wakubwa

Ni kama vile walivyokuwa wanafanya Chadema hapa ,kama utaona siku zote Slaa akipigwa picha mgongoni jukwaa na kamba zilivyofungwa ni vilevile katika picha zao zote ,na hapo ndio hivyo hiyo picha imejalizishwa kwa kuiunganisha picha hiyo hiyo ili ionekanikewatuwengi.
 
hahahahahahahaha labda this time walishindwa kuleta mabasi na malori kukusanya watu kuwapeleka kwenye mkutano......shame on them!
 
hata zile picha za TBC!1 nyingi ni za aina hii
 
hivi wanamdanganya nani? na kwa faida ya nani? hatudanganyiki. Inawezekana hata maswali ya kesho yameshaadaliwa na kapewa desa ili Tido aje amuulize kishkaji kama walivyozoea. Hatudanganyiki tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…