Elections 2010 CCM "wamechakachua" picha


Mkuu niliisha kushauri upunguze bange hebu ona hii Crap!
 
Yani siamni campaign za Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania lie kutana na Obama na Bush amejishusha kufikia hadi kuchakachua picha !
 
haha hawakubali kushindwa, bora afe mtu
 
kuna huyo msela hapo chini katikati ana kitambaa cheupe kichwani na shati jekundu...jamaa katokea tena upande wa kulia kabisa wa picha
 
wanachakachua mpaka picha, ccm kweli wako taabani bin hoi
 
inaonesha ccm wameshapoteza hii game... umebaki tu usanii wa kikwete na familia yake
 
wanachakachua mpaka picha, ccm kweli wako taabani bin hoi

Kuchakachua picha ni process ya kuelekea kuchakachua matokeo ili waseme watu wengi walikuwa wanahudhuria mikutano yao. Hebu jiulize kwa nini wanabena watu kwa malori na kuwapatia pesa wahudhurie mikutano kwa ya kupata picha za kuhalalishia wizi wanaoukusudia kuufanya.
 
Best nimekukubali unatisha. Ni ngumu kuielewa. Wameamua kutumia siasa za kuonesha wanapendwa!
 
technolojia wao uchawi wao, majungu wao,fitna wao, udini wao, ukabila wao......sasa sijui watabaki na nini?
 
Duh, tekelinalokujia nimekukubali kwamba wewe ni observant mzuri aisee. Yaani hawa jamaa hata picha za mikutano wanaziphotoshop!!? Kwa kweli hii haijatulia kabisa. Nafikiri ni mikakati ya kuiba kura, wanataka ionekane mikutano yao ilikuwa inapata watu wengi wa kutosha.
 
Poleni chichiemu jmn lililobaki ni kuchakachuana wenyewe:smile-big:
 
hehehe wamefulia hawa jamaa.. full kuchakachua kudadeki.. imekula kwao mwaka huu'
 
ukiangalia kwa juuu juu huwezi gundua, hii kali!!!!
pamoja na kusomba watu kwenye malori bado tu wahudhuriaji hawafiki mikutanoni??
 
Jamani kumbe hali ndio ilivyo.mi nilishabishana na watu kuhusu mkutano wa moshi mjini maana nilikuwepo lakini muda wa taarifa ya habari niliona umati zaidi ya uliokuwepo pale mashujaa.Mungu atatusimamia tu
 

People like you should not be allowed to breed.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…