PreGE2025 CCM wamechanganyikiwa. Hali tete sana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Allahuakbar Tabaraq
 
 
We kaamke utajiharishia. Yaani bora ht walio Mirembe siyo kwa uchafu huu uloandika
 
Hii kazi unayoifanya ,haiwezi linganishwa na malipo yoyote ya pesa,

Kazi yako ni njema sana,

Wamebarikiwa wazazi waliokuzaa na kukupeleka Shule,

Hakika ada waliyotoa haikupotea,

Ubarikiwe 🙏
Siajabu aliko huko anashangilia balaa hii comment🤣🤣🤣🤣🤣
 
Namsik Namsikitikia mamako, kala hasara ya jumla. Ht haya huna kuandika huu upupu? Watu wengine mna pepo wabaya sana
 
CCM haitishiki na matapeli wa kisiasa.Lissu na Heche ni genge la matapeli
 
Mnatumi nguvu kubwa sana poleni...
Kikilipuliwa kama cha mbagala ikipigwa angani mara moja wananchi wote wanarudi ndani na miharo.
 
Yule babu wa Mara ukimtizama unauona uchovu mkubwa ndani yake,,sio uchovu wa mwili maana yeye ni Tyson kweli kweli.
Kazi nzito!!
 
Aliyewaita nyinyi ni Nyumbu hakukosea! October utamuona Lissu anaenda kwa wanaume wake Ubelgiji au Marekani kwa familia yake, wewe utabaki hapa TZ na unyumbu wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…