PreGE2025 CCM wamechanganyikiwa. Hali tete sana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wachungaji wanaoonekana kuhongwa
 

Attachments

  • Screenshot_2025-04-03-07-36-11-425_com.whatsapp.jpg
    333.3 KB · Views: 18
Mimi MWENYEWE na familia yangu tumekubaliana kuachana na mambo ya uchaguzi NI KUPOTEZA MUDA
 
Nakuonea huruma sana Dogo. Huyu Lissu ambaye mke na watoto wako Ulaya na Heche ambaye mkewe ni Mwalimu wa Sekondari ya Kata ndio waitishe Serikali ya CCM? Ahahahahaha! Acha nicheke kwa dharau huku nikinywa Konyagi yangu nikisherehekea ushindi wa timu ya nyumbani Kagera Sugar! Ahahahahaha!!
 
Aliyewaita nyinyi ni Nyumbu hakukosea! October utamuona Lissu anaenda kwa wanaume wake Ubelgiji au Marekani kwa familia yake, wewe utabaki hapa TZ na unyumbu wako.
Poleni sana. Naskia hali si hali huko Lumumba.
 
Wewe ndo wa kuonewa huruma ndugu.

No wonder unajituliza na Konyagi. Maana Lissu na Heche wanawapa stress sana
 
Ccm have managed to fool people for some time BUT they can not continue to fool them forever.
 
Wasingewalaza na viatu kama wangekuwa cheap hivyo.
Jana Serikali imezindua Mbio za Mwenge ambazo kwa mwaka huu lengo mahsusi ni kuhamasisha Uchaguzi Mkuu ufanyike kwa amani. Unafikiri Kuna mtu mwenye akili timamu anaogopa kubweka kwa mbwa koko?
 
Mapandikizi yafukuzwe haraka sana yakatafute kazi CCM.
Uzuri hayana nguvu yeyote. Watanzania tu wamewadharau vibaya sana.

Ukisoma comments za Watanzania kwenye habari za hawa kina Mchome na Mwita kwenyr social media utagundua kabisa kuwa Watanzania sasa wanawaelewa sana Tundu Lissu, John Heche na Chadema yao na haya mapandikizi ya CCM yameshashindwa hata kabla hayajaanza.

Acha tu yaendeler kula mahela ya CCM maana CCM inaonekana wana hela nyingi sana za kuhonga safari hii.
 
Jana Serikali imezindua Mbio za Mwenge ambazo kwa mwaka huu lengo mahsusi ni kuhamasisha Uchaguzi Mkuu ufanyike kwa amani. Unafikiri Kuna mtu mwenye akili timamu anaogopa kubweka kwa mbwa koko?
Comment yako tu hii inaonesha kwa jinsi gani usivyo na akili.

Kuna mtanzania mwenye akili nchi hii anafuatilia mbio za Mwenge???

Enezeni tu ukimwi huko na hivi Trump kafuta misaada ya Condom na ARV subiri muone mnavyopukutika kwa upuuzi wenu.
 
Comment yako tu hii inaonesha kwa jinsi gani usivyo na akili.

Kuna mtanzania mwenye akili nchi hii anafuatilia mbio za Mwenge???

Enezeni tu ukimwi huko na hivi Trump kafuta misaada ya Condom na ARV subiri muone mnavyopukutika kwa upuuzi wenu.
Kwani wewe babu zako wote, bibi zako wote, wajomba zako wote, shangazi zako wote na baba zako wadogo kwa wakubwa bado wote wako hai? Ahahahahaha
Kama.hawako hai wengine, unanithibitishia kuwa walifariki peacefully beside their love ones? Ahahahahaha!!!
 
Hizi kauli sio ngeni,tusije poteana tu badae
 
NO REFORMS NO ELECTION
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…