Elections 2010 Ccm wamefanya vizuri

Plato

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2010
Posts
420
Reaction score
94
Kuwazuia wagombea wao midahalo ccm wamefanya vizuri.
Wanamageuzi wataonekana zaidi na ujumbe ni kuwa ccm wanaogopa,na au wanadharau wananchi.bravo ccm.nadhani mmetathmini mnavyowapa umaarufu chadema,rudini. Lakini mlivyo watumwa,ma dr.na ma prof.mmeufyata na kukubaliana na mwl wa primary aliyebaka na msomali kwamba midahalo si muhimu,ndo maana mtu mmoja alisema mmerogwa.songa mbele chadema,tbc usije ukatafuta aibu zaidi ya ile ya jangwani kuacha midahalo kwa maagizo ya ccm
 
They can only talk to themselves and other people who cannot think for themselves.

They are looking for people who have "Yes Sir", "Yes Mom" mentality.

CCM don't have leaders, they have followers to Sheikh Yahya Hussein.
 
mwenye macho haambiwi tazama na mwenye masikio na asikie, mwaka ndiyo huu, tumepuuzwa vya kutosha , tumenyanyaswa vya kutosha na tumeonewa sana vya kutosha, sasa wakati ndiyo huu ! hata wakijaribu kuiba kura jamani tusikubali !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…