Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Chadema kilikuwa chama enzi Mzee Mbowe. Sasa hivi kuna wahuni na wavuta bangi kama viongozi wa Chadema. Kama kweli CCM inaiogopa Chadema basi ni kwa uhuni na uvutaji bangi wa wana Chadema na sio vinginevyo!Kwa mara ya kwanza CCM ilipoona nguvu za CHADEMA ilikuwa mwaka 1994 kwenye chaguzi za Serikali za mitaa na mwaka 1995 kwenye uchaguzi Mkuu.
Tangu mwaka 1995 mpaka Sasa CHADEMA imekuwa mwiba mkubwa sana Kwa CCM. Kila kiongozi wa CCM kwa staili yake wamekuwa wakifanya jitihada ya kuiua CHADEMA lakini inashindikana.
Lakini mashambulizi ya kimfumo Kwa hivi Sasa yanayofanywa dhidi ya CHADEMA, yanatia hofu mwisho wake utakuwa nini.
Sasa hivi tumetoka kwenye mashambulizi ya kisiasa hadi kufikia mashambulizi yanayoonesha mtu kuwa mwanachadema ni jambo la hatari kwa maisha yake.
Yote yanatokea kwa kuwa CCM imeshindwa kisiasa na CHADEMA. Iko siku haya mambo yatawekwa kwenye historia kama nyakati mbaya Sana za kisiasa kwa nchi yetu.
Siku Gani !?Iko siku haya mambo yatawekwa kwenye historia kama nyakati mbaya Sana za kisiasa kwa nchi yetu.
Acha kuandika kishabiki na uchawa ukweli ni huo kwenye mada kama ni wavyta bangi mnapambana nao wa niniChadema kilikuwa chama enzi Mzee Mbowe. Sasa hivi kuna wahuni na wavuta bangi kama viongozi wa Chadema. Kama kweli CCM inaiogopa Chadema basi ni kwa uhuni na uvutaji bangi wa wana Chadema na sio vinginevyo!
Lini CCM imepambana na wahuni wa Chadema?Acha kuandika kishabiki na uchawa ukweli ni huo kwenye mada kama ni wavyta bangi mnapambana nao wa nini
Mbona hampambani na SAU AMA NLD kwa nini ni Chadema tu mnajua nguvu yao
#kataawahuni# Humphrey Pole pole.Lini CCM imepambana na wahuni wa Chadema?
Ni kama nuksi Kwa Taifa!!Jambo baya zaidi kuwahi kutokea kwenye siasa za Tanzania ni kuwa na Chama kinachoitwa CCM.
Tulia wewe Mamluki kapukuChadema kilikuwa chama enzi Mzee Mbowe. Sasa hivi kuna wahuni na wavuta bangi kama viongozi wa Chadema. Kama kweli CCM inaiogopa Chadema basi ni kwa uhuni na uvutaji bangi wa wana Chadema na sio vinginevyo!
Mamluki kapuku wakati nashinda na wewe mitandaoni? Basi Mimi ni bonge la kapuku! CCM oyeeeeee!!Tulia wewe Mamluki kapuku
Acha kujizima data kila siku hayo matamko na fisgsu mnazowafanyia za nini kama imekufa ama ni wahuni unawaongelea wa nini kama hupambani nao acha kujitoa akiliLini CCM imepambana na wahuni wa Chadema?
Mfano, wahuni wanasema No Reform, No Election. CCM na Serikali yake inaendelea na michakato yote ya Uchaguzi Mkuu. Hapo wamepambana vipi?