Wewe ndiyo rubbish kabisa binti maringo.Wewe Quinine. Una maana CCM wanamgeuza Slaa kuwa ni mwakilishi wa dini? Rubbish you
Nililtegemea uwepo wa Quinine kungesaidia kuponya Malaria Sugu lakini kumbe hamna kitu.
Mkuu Joss, nahisi hujamuelewa Quinine, ebu rudia kumsoma mkuu!
Kumbe kuna watu walikuwa wanafurahia udini uliokuwa unaenezwa na Malaria Sugu, mimi nimesema sisiem na MS hawana sera wamebakia kueneza udini tu, kama wewe ni kijani na ulikuwa unategemea MS aeneze udini pole.Nililtegemea uwepo wa Quinine kungesaidia kuponya Malaria Sugu lakini kumbe hamna kitu.