Pre GE2025 CCM wamemaliza yote Dodoma, yanayofuata ni kukamilisha ratiba tu hadi 2030

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

M24 Headquarters-Kigali

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
8,199
Reaction score
8,186
1. Hongereni CCM kwa Mkutano Mkuu Maalum hapa Dodoma.

2. Yanayofuata yote ni kukamilisha mechi za kwenye ratiba tu a.k.a stand up comedy.

**Sasa naelewa kwann Wasanii wote walialikwa Dodoma
 
Ni kweli kazi imeisha muhimu uzima tu.

Samia Rais wa JMT 2025-2030 labda hapa kati bahari ichafuke.
 
CHADEMA nao wakimaliza uchaguzi wao vema waibuke na ajenda ya ghafla kuwapata wagombea wao wa urais. Ni tit for tat wafanye fasta. Mpinzani wao tayari ameshamaliza safu za juu na ameanza mbio kabla ya kipyenga kupulizwa
 
CHADEMA sio mpinzani wetu kwa sasa. UPDP na CHAUSTA ndo wamechukua nafasi ya CHADEMA
 
1. Hongereni CCM kwa Mkutano Mkuu Maalum hapa Dodoma.

2. Yanayofuata yote ni kukamilisha mechi za kwenye ratiba tu a.k.a stand up comedy.

**Sasa naelewa kwann Wasanii wote walialikwa Dodoma
Matendo ya ccm sio maamuzi ya Mungu
 
Back
Top Bottom