M24 Headquarters-Kigali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 8,199
- 8,186
Stand up comedyTurudi Ubungo plaza tukatukanane na wana chadema wenzangu akina Lissu, Lemma na Heche
CHADEMA sio mpinzani wetu kwa sasa. UPDP na CHAUSTA ndo wamechukua nafasi ya CHADEMACHADEMA nao wakimaliza uchaguzi wao vema waibuke na ajenda ya ghafla kuwapata wagombea wao wa urais. Ni tit for tat wafanye fasta. Mpinzani wao tayari ameshamaliza safu za juu na ameanza mbio kabla ya kipyenga kupulizwa
HakikaCHADEMA sio mpinzani wetu kwa sasa. UPDP na CHAUSTA ndo wamechukua nafasi ya CHADEMA
Huwa mnashindana?CHADEMA sio mpinzani wetu kwa sasa. UPDP na CHAUSTA ndo wamechukua nafasi ya CHADEMA
Matendo ya ccm sio maamuzi ya Mungu1. Hongereni CCM kwa Mkutano Mkuu Maalum hapa Dodoma.
2. Yanayofuata yote ni kukamilisha mechi za kwenye ratiba tu a.k.a stand up comedy.
**Sasa naelewa kwann Wasanii wote walialikwa Dodoma
🤣 🤣 🤣CHADEMA sio mpinzani wetu kwa sasa. UPDP na CHAUSTA ndo wamechukua nafasi ya CHADEMA