Uchaguzi 2020 CCM wameporomosha uchumi wetu tuwanyime kura

Uchaguzi 2020 CCM wameporomosha uchumi wetu tuwanyime kura

Pawa chilonda

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2017
Posts
356
Reaction score
418
Soma hiyo ilani ya CCM ya mwaka 2015, ukurasa wa 7 kifungu cha 19(a) inasema pato la taifa limekuwa kwa asilimia 7.

Ila Ilani ya mwaka 2020 ukurasa ya 10, kifungu cha 17 (b) inasema pato la taifa limekuwa kwa asilimia 6.9.

Hapo umelewa nini?

IMG_20200929_082613.jpg
IMG_20200929_082610.jpg
 
Tena tumpe kabisa yule kibaraka alie tengeneza kiki za miujiza ili watanzania wampe urais kama kifutamachozi. Huku akiahidi kuwakadidhi mabeberu rasilimali zetu za taifa ili nao wamsaidie misada mingi ya maendeleo.
 
TENA TUMPE KABISA YULE KIBARAKA ALIE TENGENEZA KIKI ZA MIUJIZA ILI WATANZANIA WAMPE URAISI KAMA KIFUTAMACHOZI. HUKU AKIAHIDI KUWAKADIDHI MABEBERU RASILIMALI ZETU ZA TAIFA ILI NAO WAMSAIDIE MISADA MINGI YA MAENDELEO.
Weka ushahidi hapa wa unachokisema!
 
Hapo inaonyesha kabisa kama sio Covid-19 JPM angefikisha zaidi ya 7% ya utawala uliopita.
 
Nitafurahi Sana mkuu huu ujumbe ufike kwa mpiga zumari chakubanga
Anasoma ....muda wote simu haimbanduki kiganjani full charge full bando full network..ndio maana live streaming zote anazipata kwa wakati na bila shida
 
Back
Top Bottom