Pawa chilonda
JF-Expert Member
- Aug 13, 2017
- 356
- 418
Weka ushahidi hapa wa unachokisema!TENA TUMPE KABISA YULE KIBARAKA ALIE TENGENEZA KIKI ZA MIUJIZA ILI WATANZANIA WAMPE URAISI KAMA KIFUTAMACHOZI. HUKU AKIAHIDI KUWAKADIDHI MABEBERU RASILIMALI ZETU ZA TAIFA ILI NAO WAMSAIDIE MISADA MINGI YA MAENDELEO.
Hauwezi kufutwa kwakuwa umeambatanisha na vidhibitiSoma hiyo ilani ya ccm ya mwaka 2015, ukurasa wa 7 kifungu cha 19(a) inasema pato la taifa limekuwa kwa asilimia 7....
Nitafurahi Sana mkuu huu ujumbe ufike kwa mpiga zumari chakubangaHauwezi kufutwa kwakuwa umeambatanisha na vidhibiti
Anasoma ....muda wote simu haimbanduki kiganjani full charge full bando full network..ndio maana live streaming zote anazipata kwa wakati na bila shidaNitafurahi Sana mkuu huu ujumbe ufike kwa mpiga zumari chakubanga