CCM wamesababisha......

CCM wamesababisha......

Mpauko

R.I.P
Joined
Jan 19, 2019
Posts
2,323
Reaction score
3,428
1=wadada weng siku hz kustisha yale majibu ya hapana



2=vijana weng wa mjini kupenda majimama na mashangingi ya mjini


3=wanawake weng kugundua njia mbadara yakupata pesa wakiachiwa pesa kidogo ya matumizi


4=wanaume weng kupenda kulelewa na madem zao


5=wadada weng kutembea na wazee wenye umri sawa na mababu zao


6=wanaume weng kujipendekeza pendekeza kama dada pna

Kingine ongezea.....
 
Hatari sana...

Mambo yamekua rahisi sababu ya ugumu, na mambo yamekua magumu sababu ya urahisi...


Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom