1=wadada weng siku hz kustisha yale majibu ya hapana
2=vijana weng wa mjini kupenda majimama na mashangingi ya mjini
3=wanawake weng kugundua njia mbadara yakupata pesa wakiachiwa pesa kidogo ya matumizi
4=wanaume weng kupenda kulelewa na madem zao
5=wadada weng kutembea na wazee wenye umri sawa na mababu zao
6=wanaume weng kujipendekeza pendekeza kama dada pna
Kingine ongezea.....