Elections 2010 CCM wametumia shilingi ngapi kwenye huu uchaguzi?

Hili nadhani tuwaachie wanachama wa CCM, hela zao sisi zinatuhusu nini?

Nani kwakuambia ni hela zao..CCM inafanya biashara gani mpaka iwe na hela zote hizo umiza kichwa ndugu
 
watoe na nani kachangia kiasi gani..
 
......Si mwisho wa siku watatoa hesabu kwa mkaguzi mkuu wa serikali kukagua? kwi kwi kwi kwi kwi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…