Kama hiki chama, CCM, wanavunja katiba namna hii, kuwanyima wagombea wao 'freedom of expression' wanafaa kweli kurudi madarakani? Harafu wanataka kuvunja tena katiba kwa kulitumia jeshi siku ya uchaguzi kwa kutangaza hali ya hatari possibly kwa kutoa amri ya kutokutembea usiku wa 31 Okt kuamkia 1 Nov 2010 (freedom of movement).
Kuburi hiki kinatoka wapi, wakati waajili ni sisi?
mawazo ya makamba!katiba na mawazo ya makamba kipi kipo juu
katiba na mawazo ya makamba kipi kipo juu