Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 38,029
Naomba kuelimishwa jambo hili... kikao kilichotamka kuwa kimemfukuza Membe uanamacha, wana madaraka hayo ya kumfukuza..!??Membe anadai ana haki kikatiba kugombea na sio swala la utamaduni wa Chama, ila hakukumbuka haki za wenzake kikatiba alipokuwa akiwashawishi wasimpinge Kikwete.
Nilipitiliza aseeNdo umelala mazima, Mbona hujarudi?
Hahaha, sumu haionjwi.Ina maana CCM wanaogopa hata kuandaa mamluki azuge kama vile anashindana na JPM?
Wanaogopa hata mamluki anaweza kumshinda mzee kwenye mkutano mkuu!
Kwa hiyo hata wagombea wa vyama vingine nao mtawakata?Sumu haionjwi mkuu..
Kuna kura za potelea mbali.... ogopa sana.
Bora kudhibiti mapema.
Hivyo ni ni vitu vidogo hata Kingwendu ukimpa fungu la kutosha anaweza fanyaMtu ashiñdeje?
Je atasaidiaje nchi??
Hamuoni mambo mengi Mr Amefanya .
1.Barabara nyingi nzuri tokea kijijini mpaka mjini.
2.Huduma za afya , shule , maji.
3.nyumba za wafanyakazi wa serikali.
4.Majengo ya serikali mapya .
5.Kuongeza mishara kwa sekta mbalimbali za serikali.
Kama mapolisi,wanajeshi,waalimu , madaktari na nesi .
Mapolisi na wanajeshi walikuwa hawaishi kwa raha kisa kipato nikidogo.
6.Kuongeza vifaa vya hospitali ikiwemo vitanda na magodoro,blanketi na vifaa vingine vingi.
Kusikiliza wanyonge nakutekeleza shida zao nilini nani kawasikiliza wananchi??
Kiasi cha kufukuzwa hadi maaskari, wakuu wa wilaya kisa wananchi wanyonge.
Nyie wanadamu hamnaga shukurami na mtabakia na lawama zenu.
Fadhila hailipwi na nyie.
Tatizo lakumchukia mzee ni hili .
1.Anawatoza kodi
2.mnahakikishwa wafanyabiashara hamkwepi kodi na mna vyeti halali ya kumiliki biashara .
HILI SUALA NDIO MNAMCHUKIA POLENI KWA MAANA MIAKA MINGINE 10 NI YAKE.
Nani alipewaga kabla ya magufuli akafanya nyie ndio wale wanaume ambao hamjui kutoa shukurani wala hamuoni wala kujali kuna mtu anahangaika juu yako .Hivyo ni ni vitu vidogo hata Kingwendu ukimpa fungu la kutosha anaweza fanya