Uchaguzi 2020 CCM wana maana gani kuandika Fomu zao za Urais ni za kuwania Uongozi katika Vyombo vya Dola?

Kwa nini nafasi ya uongozi katika vyombo vya dola kwenye fomu za @MagufuliJP lakini fomu ya urais huko Zanzibar @ccm_tanzania ??
Hebu tupeni ufafanuzi maana siai tunajua wagombea ni wa nafasi ya URAIS wa Jamhuri ya Muungano na wa ZANZIBAR?
Nasubiri majibu

 
Sahihi,

Nafasi inayoombwa sio ya Uongozi katika Chama , bali uongozi wa Vyombo vyenye mamlaka ya Dola.
 
Dola ina vyombo vitatu (Serikali, bunge na mahakama) isipokuwa kwa mahakama, vyombe vilivyobaki nafasi zake ni za kuchaguliwa. Rais wa Tz ni mkuu wa Serikali na kwa kuwa Serikali inaingia kwa kura hivyo kauli hiyo ni sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…