Hovyo kabisa. Hakuna tume huru,watanzania hakuna haja kwenda et kupiga kura ni ujinga tu
Sahihi,
Nafasi inayoombwa sio ya Uongozi katika Chama , bali uongozi wa Vyombo vyenye mamlaka ya Dola.
Kuna tukio litakuja watu watashangaa, CCM ni msibaMikataba 17 ya kichina ilisainiwa kwa nusu saa
umebaki peke yako hapo ufipa.Stroke ni ugonjwa mbaya sana
Hakuna mwenye uwezo wa kutetea huu upumbavu akaeleweka.Hakika ninyi TANAPA mnatupa shida sana
Najua kuna saa unajibu mwenyewe unaona aibu sema basi tu.... we unapoenda kupiga kura pale kwenye karatasi ndo wataandika hvyo??? Anaomba kua mkuu wa bunge au mahakama?? Kipi basi waspecify.. kulikua na shida gani kuandika neno husika. Na isitoshe hyo si ni fomu ya kuomba ridhaa chamani ama????Dola ina vyombo vitatu (Serikali, bunge na mahakama) isipokuwa kwa mahakama, vyombe vilivyobaki nafasi zake ni za kuchaguliwa. Rais wa Tz ni mkuu wa Serikali na kwa kuwa Serikali inaingia kwa kura hivyo kauli hiyo ni sawa
umebaki peke yako hapo ufipa.
Lakini si bado anaomba ridhaa ya chama kwanza... hapo si ofisi za chama??? Au siku hizi uraisi unaombwa chamani na sio kule sijui kwa kina tume ya uchaguziSahihi,
Nafasi inayoombwa sio ya Uongozi katika Chama , bali uongozi wa Vyombo vyenye mamlaka ya Dola.
Si ni mpaka kila mgombea apitishwe na chama chake kwanza hlf wanaenda kwa mtoa fomu ya uraisi sasa...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwani hizi fom kila chama kinachapisha ya kwake!? Tutoane tongotongo hapa
Mimi fikira zangu nilidhani kwasababu anatafutwa Rais wa nchi bila kujali atakuwa wa chama gani hivyo na form inakuwa ya aina moja kwa vyama vyote
.Dola inaenda kushika hatamu!View attachment 1484541
π΄πππππ ππππππ πππππ ππππDola inaenda kushika hatamu!View attachment 1484541
Kweli kichwa umekijaza ugoro kwa hiyo anagombea uamiri jeshiRais ni Amiri jeshi au hamjui maana yake.
Kweli kichwa umekijaza ugoro kwa hiyo anagombea uamiri jeshi
Wew ni kondoo umejaa kamasi kichwani tu Kwahiyo unaona hayo maneno ni sahihiHujui kuwa u Rais na umiri jesh hautenganishwi
Jitafakari kama mwenye uwezo wa kujibu hoja tena zenye mantiki acha kukurupuka!Rais ni Amiri jeshi au hamjui maana yake.
Acha ulaghai wa kitoto wew kibwengu kwamba ww hujui mchakato unaanzia kwenye vyama kuomba nafas then ukipitishwa jina linapelekwa tume.Hapo mmejaa mijinga tupuSahihi,
Nafasi inayoombwa sio ya Uongozi katika Chama , bali uongozi wa Vyombo vyenye mamlaka ya Dola.