Uchaguzi 2020 CCM wana maana gani kuandika Fomu zao za Urais ni za kuwania Uongozi katika Vyombo vya Dola?

wanajuwa ccm haina ubavu tena wa kutawala nchi hii japo kwa dakika isipokuwa kwa mtutu wa vyombo vya dola. bashiru is an idiot with a PhD.
 
Umakini au ni hofu ya demokrasia ndani ya chama?...binafs naona ni kutokujiamini
 
Sasa si aende kupiga kampeni huko huko kwenye jeshi lake!!Wapinzani undeni na nyinyi vyombo vyenu vya dola vishindane na vya jiwe vitakavyoshinda vinaongoza tz. Hapo ndipo itapendeza
 
Acha ulaghai wa kitoto wew kibwengu kwamba ww hujui mchakato unaanzia kwenye vyama kuomba nafas then ukipitishwa jina linapelekwa tume.Hapo mmejaa mijinga tupu
Hujui lolote halafu unasumbua watu tu hapa.
 
Dola ina vyombo vitatu (Serikali, bunge na mahakama) isipokuwa kwa mahakama, vyombe vilivyobaki nafasi zake ni za kuchaguliwa. Rais wa Tz ni mkuu wa Serikali na kwa kuwa Serikali inaingia kwa kura hivyo kauli hiyo ni sawa
Hebu jisome upya halafu uniambie kama umejielewa
 
Halafu hivi mwaka huu hakuna watia nia wengine huku bara?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…