CCM Wana Mfumo mzuri wa kuchagua Mwenyekiti wa Taifa na makamu Wake, maamuzi yanafanywa mkoani Wajumbe wanatumwa tu tofauti na Chadema!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Chadema Wao wale Wajumbe 1200 ndio Wenye Maamuzi nani awe Mwenyekit wa Taifa na ukiweza kuhonga Wajumbe 700 wewe ni Mshindi

Ila Wenzao CCM Wajumbe huingia na Azimio Kutoka mkoani kwamba Wanachama wametutuma tumchague Fulani

Kwa Mfumo wa CCM Tundu Lisu angeshinda Saa 4 asubuhi ila Kwa huu Mfumo wa Chadema Fedha ndio itaamua

Jumaa Mubarak 😂
 
So mfumo upi mbaya? Wa fedha kuamua nani awe mwenyekiti au mfumo wa wajumbe kuja na jina? Je unamaanisha ni halali kupata viongozi kwa njia za rushwa?
 
Kwa CCM mwenyekiti taifa hachaguliwi na wanaccm bali Rais anayechaguliwa na watanzania ndiye automatically anakuwa mwenyekiti wa CCM hadi hapo tutakapopata Rais toka nje ya CCM ndipo wana CCM seriously watachagua mwenyekiti wao wa Taifa.
 
Kupiga Kura ya ndio na hapana ndio utaratibu mzuri? Mtu akigombea uenyekiti na urais anafukuzwa huko ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…