Elections 2010 CCM wanaandikisha majina ya wananchi wanadai ni watu wao

HIMO ONE

Senior Member
Joined
Sep 6, 2010
Posts
128
Reaction score
7
Wadau wapo wana ccm wanapita hapa mtaani kwetu,mabibo wanagawa kanga,tishet na kofia za ccm,na wakishakupa wanakuandika jina halafu wanasema mpaka sasa tumeshashinda,wamemgawia mke wangu kanga,kofia na tishet ila kaandika jina la uongo.

Wadau hawa jamaa wasijidanganye kuwa wana watu wakutosha kumbe wengi walioandika majina yao ni kwa stail kama ya my wife hapa,wengi watachagua chadema sasa hawa jamaa wasijeleta fujo siku ya uchaguzi na majina yao feki

tahadhari wanaccm waambieni viongozi wenu hao watu mliowatuma hawafanyi kazi mliyowatuma wanaandaa fujo tarehe 31 mwezi huu naamini kwa sail hii moto utawaka.
 
Ahasnte Mkuu, sambaza hii habari kwa sms pia, na hao utakaowatumia waombe nao waisambaze
 
Wadau wapo wana ccm wanapita hapa mtaani kwetu,mabibo wanagawa kanga,tishet na kofia za ccm,na wakishakupa wanakuandika jina halafu wanasema mpaka sasa tumeshashinda,wamemgawia mke wangu kanga,kofia na tishet ila kaandika jina la uongo.

Wadau hawa jamaa wasijidanganye kuwa wana watu wakutosha kumbe wengi walioandika majina yao ni kwa stail kama ya my wife hapa,wengi watachagua chadema sasa hawa jamaa wasijeleta fujo siku ya uchaguzi na majina yao feki

tahadhari wanaccm waambieni viongozi wenu hao watu mliowatuma hawafanyi kazi mliyowatuma wanaandaa fujo tarehe 31 mwezi huu naamini kwa sail hii moto utawaka.

hiyo ni kweli.

kuna wadada huku kwetu tabata ni makada wa chadema, jana nimekuta wamepewa vijifulana vya njano na watu wa ccm.

mwaka huu vinagawiwa. 2005 vilikuwa vinagombaniwa. hehe mutaisoma watu wa ccm mwaka huu.

munakumbuka maneno ya dr. mwakyembe?

fisadi akikupa pesa(na vingine vya namna hiyo) chukua. kura usimpe.
 
Kweli Mkuu! nimeona zinagawiwa SINZA kijiweni na nilivyoshuka maeneo ya posta mchana saa 7 nimekuta wanagawa karibu na IFM waliochukua wanasema KULA CCM kulala kwa CHADEMA! kazi kwao.
 
Kwanza jamaa wenyewe wamechoka mbaya sijui hawajioni?watz wengine akili zao kama mbuzi tuu,wachafu wanapiga miyao tuu eti wanagawa fulana ili kupata idadi ya wanaccm pumbafuuuuuuuuuuuuuu
 
Back
Top Bottom