HIMO ONE
Senior Member
- Sep 6, 2010
- 128
- 7
Wadau wapo wana ccm wanapita hapa mtaani kwetu,mabibo wanagawa kanga,tishet na kofia za ccm,na wakishakupa wanakuandika jina halafu wanasema mpaka sasa tumeshashinda,wamemgawia mke wangu kanga,kofia na tishet ila kaandika jina la uongo.
Wadau hawa jamaa wasijidanganye kuwa wana watu wakutosha kumbe wengi walioandika majina yao ni kwa stail kama ya my wife hapa,wengi watachagua chadema sasa hawa jamaa wasijeleta fujo siku ya uchaguzi na majina yao feki
tahadhari wanaccm waambieni viongozi wenu hao watu mliowatuma hawafanyi kazi mliyowatuma wanaandaa fujo tarehe 31 mwezi huu naamini kwa sail hii moto utawaka.