cumbamalema
JF-Expert Member
- Sep 4, 2024
- 366
- 820
Nimeamka asubuhi mke wangu ananiambia tunaitwa kwa mwenyekiti, nikajikuta niende kumsikiliza anasemaje, nikamkuta kijana anaandikisha majina anasema anataka kutupa kadi za CCM za kieretroniki. Nikamwambia mimi ni mwanachama wa CHADEMA, kuchungulia zile karatasi naona majina yalishafika kalibu 60.
Sasa sijajua anaandikisha kwa maslahi yapi, wanaojua zaidi watusaidie maana nimekuja kwa likizo mimi siyo mkaaji Tanzania niko nje ya nchi kutafuta mkate.
Sasa sijajua anaandikisha kwa maslahi yapi, wanaojua zaidi watusaidie maana nimekuja kwa likizo mimi siyo mkaaji Tanzania niko nje ya nchi kutafuta mkate.