Elections 2010 CCM wanahaha kutafuta ushindi feki,

Kakungulume

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2008
Posts
213
Reaction score
54
Kwa kweli wazungu watatucheka,
CCM hawa ni mashetani ya Tanzania, kwa sababu wanafanya kila hila kupata ushindi ilhali wakijua
fika ahadi na sera zao hazitekelezeki.

Sasa wanataka kupanga majimbo ya ushindi ili wakajipange kuichakachua nchi hii pendwa ya Tanzania.

Ona sasa, majimbo yote ambayo CCM inaelekea kushinda NEC inayatangaza FASTA, lakini yale ambayo CHADEMA au CUF imeshinda kwa TZ bara hawatangazi kwa wakati. Ona Lindi, Pwani n.k yametangazwa tayari na Arusha mjini na Nyamagana Mwanza kimya hata sasa, KULIKONI.
 
Hapo mimi ndio ninaposhangaa kwani hii nchi ni ya kwao pekee yao???
 
Watanzania tunajivunia amani, na amani hii ina kila dalili za kuvunjwa na hawa sisiem kutokana na roho yao ya king'ang'anizi cha madaraka japo wanafahamu kwamba kwasasa watanzania wanafahamu kwamba sisiem ndo chanzo cha umasikini tulinao na ndo chanzo cha utajiri wa mafisadi
 
Walikuwa wakilalamika upinzani unahamasisha fujo lakini kumbe wao ndio number one
 
watashindwa CCM na shetani atashindwa kwa jina la Yesu. Amen..!
 
hAWANA UJANJA WAMELIKOROGA WENYEWE ACHA WALINYWE KWA MDOMO WAO.SISI TUNAHESHIMU MATOKEO YA VITUONI NA SI VINGINEVYO TUME KAZI YAKE NI KUJUMLISHA TU NA KUTANGAZA.

LAZIMA WAELEWE MGAWANYO WA MAJUKUMU( SEGREGATION OF DUTIES). TUME WAKIRUDIA KUHESABU WAJUE WAMEINGILIA KAZI YA CHOMBO KINGINE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…