Dalton Elijah
JF-Expert Member
- Jul 19, 2022
- 968
- 1,978
Baada ya Kuona Majina Yametangazwa Na Chama Cha Mapinduzi Nimegundua Kuwa CCM wana hitaji Mabadiliko Kuliko Chama Chochote Kwa Hapa Tanzania
1)kutokuheshim Maamuzi Ya Wajumbe .
2)Chama Kinaendeshwa Na Wakubwa Mwanachama Wa Kawaida Hana Chake Kabisa ..labda Kupewa Baiskeli,Bodaboda Na Fedha Ndogo
3)Chama Kimepoteza Mvuto Na Hakioendwi Na Wananchi
4)Chama Hakifuti Katiba Yake Na Kinavunja Katiba Ya Nchi Kila Uchao
5)Chama Kimegeuka Genge La Wahuni Na Wafanya Biashara
©®
Hii haijakaa sawa.
Kukatwa kwa majinà ya baadhi ya walio ongoza majimbo ni si kupuuza maoni ya wajumbe, ni matokeo rushwa ya wazi iliotumika. Walisahau ukiiga kunya kwa tembo utakati msamba. Walipo ona mama kusambaza piki piki na baisikeli takukuru na tume ya uchaguzi wamekaa kimya nao wakaona ni ruksa. Huko tabora mmiliki mmoja wa vyuo alitumia mabilioni mradi wa kusaka ubunge, yupo ICU.Baada ya Kuona Majina Yametangazwa Na Chama Cha Mapinduzi Nimegundua Kuwa CCM wana hitaji Mabadiliko Kuliko Chama Chochote Kwa Hapa Tanzania
1)kutokuheshim Maamuzi Ya Wajumbe .
2)Chama Kinaendeshwa Na Wakubwa Mwanachama Wa Kawaida Hana Chake Kabisa ..labda Kupewa Baiskeli,Bodaboda Na Fedha Ndogo
3)Chama Kimepoteza Mvuto Na Hakioendwi Na Wananchi
4)Chama Hakifuti Katiba Yake Na Kinavunja Katiba Ya Nchi Kila Uchao
5)Chama Kimegeuka Genge La Wahuni Na Wafanya Biashara
©®
Nileeteeni likebo niishi nalo nyumbani.Baada ya Kuona Majina Yametangazwa Na Chama Cha Mapinduzi Nimegundua Kuwa CCM wana hitaji Mabadiliko Kuliko Chama Chochote Kwa Hapa Tanzania
1)kutokuheshim Maamuzi Ya Wajumbe .
2)Chama Kinaendeshwa Na Wakubwa Mwanachama Wa Kawaida Hana Chake Kabisa ..labda Kupewa Baiskeli,Bodaboda Na Fedha Ndogo
3)Chama Kimepoteza Mvuto Na Hakioendwi Na Wananchi
4)Chama Hakifuti Katiba Yake Na Kinavunja Katiba Ya Nchi Kila Uchao
5)Chama Kimegeuka Genge La Wahuni Na Wafanya Biashara
©®
Ikiwa sivyo basi kushukuru hata kwa amani iliopo 🙏🙏🙏🙏Baada ya Kuona Majina Yametangazwa Na Chama Cha Mapinduzi Nimegundua Kuwa CCM wana hitaji Mabadiliko Kuliko Chama Chochote Kwa Hapa Tanzania
1)kutokuheshim Maamuzi Ya Wajumbe .
2)Chama Kinaendeshwa Na Wakubwa Mwanachama Wa Kawaida Hana Chake Kabisa ..labda Kupewa Baiskeli,Bodaboda Na Fedha Ndogo
3)Chama Kimepoteza Mvuto Na Hakioendwi Na Wananchi
4)Chama Hakifuti Katiba Yake Na Kinavunja Katiba Ya Nchi Kila Uchao
5)Chama Kimegeuka Genge La Wahuni Na Wafanya Biashara
©®
wawili hao ummy na mwezake rushwa sana walitoa
Na bado hamjasemaBaada ya Kuona Majina Yametangazwa Na Chama Cha Mapinduzi Nimegundua Kuwa CCM wana hitaji Mabadiliko Kuliko Chama Chochote Kwa Hapa Tanzania