J jo mose JF-Expert Member Joined Aug 5, 2020 Posts 3,476 Reaction score 4,074 Oct 16, 2020 #21 Yale majengo ya lumumba ccm ikifa tuyafanyie nn, me napendekeza yawe hostel za wanachuo ili kuwapunguzia shida za malazi, Wwe unapendekeza nn
Yale majengo ya lumumba ccm ikifa tuyafanyie nn, me napendekeza yawe hostel za wanachuo ili kuwapunguzia shida za malazi, Wwe unapendekeza nn
J jo mose JF-Expert Member Joined Aug 5, 2020 Posts 3,476 Reaction score 4,074 Oct 16, 2020 #22 Chama mfu Ni kile kinachobebwa na dola badala ya umma (hoja ya ushawishi) na anaemiliki nguvu ya umma ndie anaemiliki dola.
Chama mfu Ni kile kinachobebwa na dola badala ya umma (hoja ya ushawishi) na anaemiliki nguvu ya umma ndie anaemiliki dola.
LIKE JF-Expert Member Joined Dec 17, 2013 Posts 4,755 Reaction score 9,889 Oct 16, 2020 #23 jo mose said: Yale majengo ya lumumba ccm ikifa tuyafanyie nn, me napendekeza yawe hostel za wanachuo ili kuwapunguzia shida za malazi, Wwe unapendekeza nn Click to expand... jengo libomolewe lote waweke mnara wa jembe na nyundo kuashiria namna hizo zana zimetumika kudumaza taifa
jo mose said: Yale majengo ya lumumba ccm ikifa tuyafanyie nn, me napendekeza yawe hostel za wanachuo ili kuwapunguzia shida za malazi, Wwe unapendekeza nn Click to expand... jengo libomolewe lote waweke mnara wa jembe na nyundo kuashiria namna hizo zana zimetumika kudumaza taifa
J jo mose JF-Expert Member Joined Aug 5, 2020 Posts 3,476 Reaction score 4,074 Oct 16, 2020 #24 LIKE said: jengo libomolewe lote waweke mnara wa jembe na nyundo kuashiria namna hizo zana zimetumika kudumaza taifa Click to expand... Kodi yetu tubomoe vipi ili tupate hasara?
LIKE said: jengo libomolewe lote waweke mnara wa jembe na nyundo kuashiria namna hizo zana zimetumika kudumaza taifa Click to expand... Kodi yetu tubomoe vipi ili tupate hasara?
M mwana wa africa JF-Expert Member Joined Apr 17, 2011 Posts 548 Reaction score 128 Oct 16, 2020 #25 MASIEMU YALICHIMBA KABURI KUWAZIKA WAPINZANI ILA NAONA WAO NDIO WATAJIZIKA WENYEWE. God's time is a right time
MASIEMU YALICHIMBA KABURI KUWAZIKA WAPINZANI ILA NAONA WAO NDIO WATAJIZIKA WENYEWE. God's time is a right time