Knock life
JF-Expert Member
- Oct 11, 2024
- 2,465
- 7,764
Kitakachotokea baada ya October 2025 kitakuwa hatari zaidi ya kilichotokea 2015 .
Huu Uzi utakumbukwa na watu wote
CCM inapambana kuua vyama Vya upinzani huku ikitengeneza upinzani .
Yaani watasiganyana wao kwa wao na hakutatawalika trust me
Very possible, kwanza hata baada ya kura za maoni tu kutakuwa na mvurugano mwingi.Kitakachotokea baada ya October 2025 kitakuwa hatari zaidi ya kilichotokea 2015 .
Huu Uzi utakumbukwa na watu wote
CCM inapambana kuua vyama Vya upinzani huku ikitengeneza upinzani .
Yaani watasiganyana wao kwa wao na hakutatawalika trust me
Itatoka tuCcm ishajijengea ngome za kutosha na maofisi ya maghorofa Kila mkoa, mafrem ya maduka mamiradi Yani Iko imara kiuchumi na kijeshi ndo mtegemee kuitoa madarakani kweli???????????
Duuhhh sidhani kwakweli
Ndoto za mchanaItatoka tu