CCM wanapiga drama baada ya kuona lichama limekufa na hakuna anayewajali

Kiboko ya Mazwazwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2026
Posts
1,802
Reaction score
3,271
Wakuu bila shaka mko poa,

Nimeleta Uzi huu baada ya kuona Kwa jicho la ndani kuwa CCM mpaka sasa haipo na hakuna anayetaka kujua habari zao ukiacha nguruwe na wapigwa miti, so ni katika muktadha huo wameona waje na drama za Nchimbi ili kuhamisha upepo japo wamekuja kipindi kibaya ambacho wananchi wanafatilia kesi ya Lissu.

Hivyo, nawaomba msanuke maana hizo ni drama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…