CCM inatushangaza sana kwa kauli zao baada ya mzee warioba kuwakilisha rasimu ya pili bungeni jana.
Wasira alizungumza kwa jeuri sana wakati akihojiwa na mwandishi wa itv achilia hapo leo asubuhi kwenye kipindi cha jambo tbc kingunge alikuwa anazungumza na kujenga hoja ambazo azina mantiki kabisa eti anasema bunge la katiba ndilo linalo andika katiba kwa hyo wanakwenda kuandika katiba watakayo wao hapo hapo mzee kificho akikanusha kuwa wao awakupeleka mapendekezo ya serikali tatu.
CCM wanapaswa kujipima na kujitambua kuwa huu ni muda mwingine sana katika hii dunia ya sasa watanzania wanauwelewa sana wa mambo mengi na uchambuzi wa hali ya juu sana.