Elections 2010 Ccm wanapita mitaani na mfano wa karatasi za kura

Jatropha

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2009
Posts
1,151
Reaction score
200
yapo madai kutoa sehemu mbali mbali kuwa viongozi wa ccm wakiwemo wajumbe wa nyumba kumi kumi wanapita mitaani wakiwa na mfano halisi wa karatasi za kupigia kura zilizotolewa na tume ya uchaguzi kwa nia ya kuwapatia elimu na wakiwashawishi watu wanaodhani ni washabiki wao kuwapigia wagombea wa ccm kura siku ya tarehe 31 oktoba.

Je hiyo ni halali? Wamepata wapi mfano wa karatasi hizo au ndio zile zilizoingia kupitia mpaka wa tunduma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…