Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Mpo Salama kabisa!
Naona Team Lisu mmekwaza, mmekata tamaa lakini pia Wanachadema ambao sio team Lisu lakini mnahitaji mabadiliko mapya na uongozi wenye mawazo na mbinu Mpya. Poleni Sana. Ndivyo siasa zilivyo.
Kwa mara ya Kwanza Historia itaandikwa, kiongozi anayeongoza CHADEMA kuwavutia CCM. Hii haijawahi kutokea kiongozi wa chama kikuu cha upinzani kusapotiwa na kupendwa na CCM.
Ikiwa wajumbe watamchagua Mbowe akaendelea na uenyekiti hii itamaanisha Wajumbe na CCM wameungana kwa namna Fulani. Wamekuwa kitu kimoja. Kuna maslahi fulani yanawaunganisha.
Lakini hii pia inaweza kuwa kete ya mwisho kwa CCM kuhakikisha CHADEMA haiinuki tena na tena.
Ukiangalia chama cha CHADEMA kwa nini kimechelewa kudondoshwa na CCM ni aina watu iliyokuwa nayo.
Hapana Shaka Mbowe alifanya usajili mzuri Miaka 20 iliyopita. Na matunda ya usajili huo yameifanya CHADEMA i- survive kwa wakati huo.
Kile kikosi cha dhahabu chote kimepigwa na kuangushwa.
Kina Zitto Kabwe, kina Slaa, kina Msigwa na wengineo wengi waliochukuliwa Kipindi cha Magufuli walikuwa watu wenye nguvu na mchango Mkubwa kwa CHADEMA.
Kwa sasa CHADEMA kikosi chako ukikitazama kwa Makini kabisa, kikosi cha dhahabu kilichobaki ni Tundu Lisu, John Heche na Lema. Ambao nao ndio hao adui kawakata upepo.
Sasa kama CCM atadondoshwa bila Shaka Heche nguvu zitakuwa zimeisha Kabisa.
Ni kama vile Israel ilivyokuwa inashughulikia adui zake hapo mashariki ya Kati.
Kitendo cha Israel kuua n kudondosha viongozi wa Hammas na Hezbollah kimedhoofisha Makundi hayo.
Kwenye siasa, hata uwe na watu Milioni Mia kama huna viongozi mahiri hao watu ni useless.
Ndio maana chama Makini hufanya usajili na kuwachukua watu makini ili kujitajirisha na kuwa na nguvu.
Ngoja tuone