johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
kwahiyo gentleman unamaanisha kwamba Chadema ni shetani anaekemewa kwenye mikutano ya CCM, right?πKuna wanachadema wanaumia sana kila CCM inapotajwatajwa na wanaCCM mikutanoni
Niwatie tu moyo wawe wavumilivu kwani kwetu CCM wale CHADEMA ni sawa na shetani mbele ya Walokole ni lazima akemewe na kupondwapondwa kila wakati hasa mwaka huu wa uchaguzi
Tunamkataa shetani na kazi zake zote
Mlale unono π
Mti wenye matunda ndiyo hutupiwa mawe. CCM ni chama mfu bila bunduki na mabomu ya polisi ni wepesi kama unyoya.Kuna wanachadema wanaumia sana kila Chadema inapotajwatajwa na wanaCCM mikutanoni
Niwatie tu moyo wawe wavumilivu kwani kwetu CCM wale CHADEMA ni sawa na shetani mbele ya Walokole ni lazima akemewe na kupondwapondwa kila wakati hasa mwaka huu wa uchaguzi
Tunamkataa shetani na kazi zake zote
Mlale unono π
Mkuu unaweza kunitajia mkutano wowote wa chadema ambao haujaitaja ccm?!!! Samahani lakini.Mti wenye matunda ndiyo hutupiwa mawe. CCM ni chama mfu bila bunduki na mabomu ya polisi ni wepesi kama unyoya.
Hili swali ungelielekeza kwa johnthebaptist aliyeleta uzi huu ungekuwa fair zaidi.Mkuu unaweza kunitajia mkutano wowote wa chadema ambao haujaitaja ccm?!!! Samahani lakini.