Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Inasemwa kuwa siku ya Jana na Leo huko kwenye mitaa ya Lumumba mjini Dar es salaam na Kuu huko mjini Dodoma, vicheko Kwa Wana CCM vimetawala.
CCM wanawacheka wajamaa wenzao chama cha Apruebo Dignidad kinachoongoza Chile Kwa jinsi wanavyohangaika kuomba msamaha kisa eti umeme umekatika Kwa masaa nane nchini humo.
CCM wanashangaa imekuwaje umeme ukatike Kwa masaa nane halafu wananchi wa Chile wanaombwa msamaha.
Kinachowachekesha CCM ni jinsi chama hicho Cha kijamaa kinavyowaogopa watu wa Chile. Mwana CCM mmoja kauliza kama huo umeme ulivyokatika kuna mtu amekufa.
Vicheko hivi vya wana CCM dhidi ya wajamaa wenzao wa Chile, sidhani kama vitaisha leo🤔