Mikopo Consultant
JF-Expert Member
- Oct 28, 2024
- 529
- 1,150
Kwa mujibu wa takwimu za NBS, watanzania wenye uwezo wa kufanya kazi karibu asilimia 65 wameajiriwa kwenye mnyororo wa thamani wa kilimo.
Nchi hii imekuwa na baraka sana ya kupata neema ya hali njema ya hewa, kiasi kwamba kila mwaka watu wamekuwa wanakula na kusaza japo hawana akiba yeyote (no savings), ikimaanisha ya kwamba watanzania asilimia kubwa wanaishi subsistence life - wanakula wanacholima.
Na kama inavyojulikana, watu wengi wenye hasira ni wakulima na wafugaji (kama unabisha kumbuka ya Chato Boy - John Pombe Magufuli) alivyowachezesha shere wanaojiita watoto wa mjini.
Sasa basi, kwa muktadha huo, hili joto na jua ninalolishuhudia na kulisikia, Mungu epusha mbali, endapo hali ikiwa hivi mpaka December 2025 na ikapelekea wakulima na wafagaji wenye hasira wakakosa mavuno (wakavuna mabua) na wafugaji wakakosa malisho, hii ndio itakuwa gold bullet ya lile anguko la CCM wengi wetu huwa tunalizungumzazungumza bila kujua litakujaje.
Watu wengi Tanzania wamechafukwa rohoni mda mwingi tu (kwahiyo mtaji wa jazba na hasira upo) kinachochelewesha nguvu ya umma ni kwamba watu wamekuwa wanalima wanavuna wanakula wanazaliana wanasahau shida zao kwa muda.
Hata polisi na vyombo vya ulinzi huwa wanadhani kwamba wanafanikiwaga kuwa contain watanzania, lakini wala haipo hivo. Hakuna mtu anaweza ku control umma wa watu milioni 70.
Hivyo, CCM waogope sana hili joto na jua kali nchini kwa sasa.