Elections 2010 CCM wapandisha bendera juu-chini!

Distress – flying the flag upside-down, or tying it into a wheft
 
Duh, ushahidi mwingine kwamba mwaka huu CCM itaanguka kichwa chini miguu juu.
 
Masharti ya Sheikh Yahaya hayo. Yaani chama kinaendekeza ushirikina tuu! imekula kwao wana jichulia wenyewe hiyo October 31 wataisoma namba!
 
mambo mengine ni ya kawaida sana na hayahitaji mjadala. Hili si jambo la kuumiza vichwa vyetu na kutupoteza mwerekeo wa kujadili mambo makubwa kitaifa. kama imetokea hivyo basi ni makosa ya mtu aliyekuwa anapandisha pendera na si kosa la chama. Huu ni udaku.
 

"More things in politics happen by accident or exhaustion than happen by conspiracy.
 

Udaku nimeuanderline...kama una akili timamu anagalia kivuli cha hiyo bendera utajua ni saa ngapi bendera ilikuwa juu chini....kwa wanaojua maana ya bendera kama mimi (Vexillologist) hii ni ishu serious....keep brooding dunderhead
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…