CCM Wapongezwe kwa Kuiogopa CHADEMA, Wasibezwe!

Sasa mbona mnageukana hapahapa
Ni kweli kabisa cdm hawawezi kuogopwa maana hawana silaha, ifahamike ccm sio chama cha siasa, bali ni taasisi ya kidola iliyojivika koti la chama cha siasa.
 
Huu ndio uchambuzi kweli nyie ni mnyumbu
 
Chadema itabaki na wabunge kwenye magazeti
October historia itabasilika licha ya yote hayo uliyobainisha. Wakati ukifika huwa hakuna namna ya kuzuia. Kongole kwa wana mabadiliko wote ndani na nje ya chama tawala
 
Serkali ndio inaliamiliki jeshi la polisi sio ccm rudi shule mkuu
Ni kweli Chadema wanaogopwa sana na CCM ndio maana ili washinde lazima waombe msaada wa Polisi, Mgambo wa City, Takukuru mpaka Zimamoto!
 
Waogopwe kwa lipi, hata sijui kama chadema ina sera yoyote
 

Ukiona mtu anaandika Gazeti refu kuongelea jambo kama la vyama vya Siasa ujue anajua anajidabganya mwenyewe. Hata sijasoma kichwa tu kinatosha kumwona mwandishi Wale waja Leo kwetu kumenoga.
 
Miaka hiyo ya chadema kupaa ilikuwa kazi ya Dr slaa sio.mbowe.Dk slaa kaondoka chadema.hoi ndani na nje ya Nchi
 
Uwezekano wa vita vya wenyewe ni mkubwa.
1. Ajira hakuna
2. Uchumi umedorora
3. Utekaji umeshamiri
4. Watu wanapigwa risasi hadharani hakun
 
Chadema ipi hii hii au nyengine?
 
Huu Uzi umewavua nguo wapiga makofi na mapambio humu JF, Mleta mada umekuja na uchambuzi murua ambao huwezi upinga kwa propaganda nyepesi na ndio maana vichwa tupu wameweza onekana humu ndani.
 
CCM wanaogopa chadema kinomanoma, kiasi kwamba wamejenga ndoa na polisi ili iwasaidie kupambana na chadema.
 
Kajiajiri kijana kijana acha kufuata mbowe
Uwezekano wa vita vya wenyewe ni mkubwa.
1. Ajira hakuna
2. Uchumi umedorora
3. Utekaji umeshamiri
4. Watu wanapigwa risasi hadharani hakun
 
CCM wanaogopa chadema kinomanoma, kiasi kwamba wamejenga ndoa na polisi ili iwasaidie kupambana na chadema.
Mara wanauwa mara wanaigopa hata hamueleweki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…