wananchi wa Jimbo la kilindi mkoani Tanga wameweka msimamo wakuto kumchagua mbunge wa ccm katka uchaguzi mkuu kwa kua mgombea huyo wa ccm hakua ni chaguo lao, wasema mgombea huyo wa ccm alibebwa na viongozi wa ccm Wilaya ya kilindi ndio maana amepata ushindi wa kula za wizi, hata hivyo kada wa ccm ambae na yeye alikua mgombea wa ccm kura za maoni Magawa Ndaro amehamia Chadema na amesha chukua fom ya kugombea ubunge Jimbo la kilindi kwa tiket ya Chadema, UKAWA wamesimamisha wagombea maeneo yote ya Jimbo la kilindi.